• 15th Floor, TPA - One Stop Centre /Bandari Tower
  • 24/7
  • +255 222 111 851/2/3

Kuhusu Sisi

Integer ni timu ya watalaamu wenye ubunifu wanaopenda na kujitolea katika mabo ya ufumbuzi wa vitendo na ufanisi wa usafirishaji na vifaa kwa manufaa ya washirika na wateja wake. Wafanyikazi wa kada kama hii husaidia katika kuzingatia kukuza biashara kwenye kipengele muhimu zaidi: "Kukidhi mahitaji ya wateja wetu."

Bodi ya
Wakurugenzi

Integer inazingatia utawala bora na uwajibikaji jumuishi. Hii inaakisi muundo wetu wa kampuni ambao unajumuisha Bodi ya Wakurugenzi na timu ya Menejimenti, yenye uwezo iliyojitolea kuipeleka kampuni katika viwango vya juu.

Menejimenti Yetu

Menejimenti ya Integer inatimu ya wataalamu wenye ubunifu na wanaopenda kujitolea katika mambo ya ufumbuzi wa vitendo na ufanisi wa usafirishaji na vifaa kwa manufaa ya washirika na wateja wake. Wafanyikazi wa kada kama hii husaidia katika kuzingatia kukuza biashara kwenye kipengele muhimu zaidi: "Kukidhi mahitaji ya wateja wetu"